Thursday, March 6, 2008

Mabadiliko ya Hali ya Hewa

Shughuli za kibinadamu ndio chanzo kikubwa cha mabadiliko ya hali ya hewa duniani. Shughuli hizo ni za viwandani, kilimo, kibiashara, usafirishaji and madini. Pasipokuwepo na matumizi sahihi ndio hapo hutokea ongezeko la joto duniani. Tatizo lingine ni kuongezeka kwa kina cha maji baharini na kuyeyuka kwa barafu katika ncha za dunia na katika milima kama ilivyotokea katika mlima wa Kilimanjaro, uliopo nchini Tanzania, Barani Afrika.

Matatizo mengine ni kuibuka kwa magonjwa mbalimbali kama vile malaria katika nyanda za juu na magonjwa ya ngozi, na mengine mengi.

No comments: