Thursday, August 2, 2007

HABARI WANABLOGU NA JUMUIYA YA WANABLOGU TANZANIA.

Ndugu wanablogu nimejiunga na dunia ya blogu,natumai wote tutashirikiana kuinua na kupanza sauti katika jamii.

Karibuni wote.

5 comments:

Rundugai said...

Karibu sana mwavane katika hii jumuiya ya blogu
Tupe ya mazingira usichoke

Egidio Ndabagoye said...

Karibu sana Ndugu Mhache

mwandani said...

karibu. kikao watu.

luihamu said...

Mzee Mhache karibu sana.

Mzee umuhimu wa blogu,kutupasha habari kila kukicha,usiingie mitini mzee.

Evarist Chahali said...

Karibu sana